Search sclero.org:
Thanks to Actelion

(Kiswahili Version) Justus Bahati Wanzala

Kalimani wa Shirika la ISN wa Lugha ya Kiswahili.
English Version Kiswahili (Swahili) Version
"Mara ya kwanza niliposoma kuhusu huu ugonjwa scleroderma,
niliguswa na moyo wa huruma ndipo nikaamua kusaidia
karidi ya uwezo wangu katika kukabiliana nao."

Jina langu ni Justus Bahati Wanzala, na mimi ndiyo kalimani wa Shirika la ISN wa lugha ya Kiswahili. Ninahudumu kama mwandishi wa habari na pia nina tafsiri habari kutoka lugha ya Kiingereza hadi Kiswahili katika Shirika la Kitaifa la Utangazaji Nchini Kenya, KBC. Nilifuzu kama mwandishi wa habari kwenye chuo cha Kitaifa cha Uwandishi wa Habari, Nchini Kenya, KIMC, jijini Nairobi.

Kwa wakati huu ninafanya kazi kama mwandishi wa habari na tena kama kalimani na mara ya kwanza niliposoma kuhusu huu ugonjwa wa scleroderma, niliguswa na moyo wa huruma ndipo nikaamua kusaidia karidi ya uwezo wangu katika kukabiliana nao. Nina fahari kubwa kuwa niko mmojawapo wa wale wanaozambaza habari kuhusu maradhi haya katika lugha yangu ya kitaifa ya Kiswahili, kupitia kwa huduma ninayotoa kwa shirika la ISN. Unaweza kuwasiliana nami katika lugha ya Kiingereza au Kiswahili kwa njia ya mtandao.

 
Go to ISN Position Descriptions
 
SCLERO.ORG is brought to you by the nonprofit International Scleroderma Network (ISN). The ISN is a full-service nonprofit scleroderma charitable foundation providing stellar research, support, education and awareness for scleroderma and related illnesses, such as pulmonary hypertension.
  1. Post a message in Sclero Forums!
  2. Email: isn@sclero.org
  3. English Email Form
  4. Español Email Form
  5. Italiano Email Form
International Scleroderma Network (ISN)
7455 France Ave So #266
Edina, MN 55435-4702
United States
Toll Free Hotline in U.S.
Hours: 9am-3pm CST only.
Please leave a complete message, in English.
1-800-564-7099
Direct Line
1-952-583-5735
We are also known as the Scleroderma from A to Z web site.
© Copyright 1998-2010 International Scleroderma Network
All Rights Reserved