SCLERO.ORG
Search
SCLERO.ORG is retiring 4-24-2021. Thank you for the memories! You'll still find us in the Wayback Machine, and we'll carry your stories in our hearts forever.

(Kiswahili Version) Justus Bahati Wanzala

Kalimani wa Shirika la ISN wa Lugha ya Kiswahili.
English Version Kiswahili (Swahili) Version
"Niliguswa na moyo wa huruma ndipo nikaamua kusaidia karidi ya uwezo wangu katika kukabiliana nao."

Jina langu ni Justus Bahati Wanzala, na mimi ndiyo kalimani wa Shirika la ISN wa lugha ya Kiswahili. Ninahudumu kama mwandishi wa habari na pia nina tafsiri habari kutoka lugha ya Kiingereza hadi Kiswahili katika Shirika la Kitaifa la Utangazaji Nchini Kenya, KBC. Nilifuzu kama mwandishi wa habari kwenye chuo cha Kitaifa cha Uwandishi wa Habari, Nchini Kenya, KIMC, jijini Nairobi.

Kwa wakati huu ninafanya kazi kama mwandishi wa habari na tena kama kalimani na mara ya kwanza niliposoma kuhusu huu ugonjwa wa scleroderma, niliguswa na moyo wa huruma ndipo nikaamua kusaidia karidi ya uwezo wangu katika kukabiliana nao. Nina fahari kubwa kuwa niko mmojawapo wa wale wanaozambaza habari kuhusu maradhi haya katika lugha yangu ya kitaifa ya Kiswahili, kupitia kwa huduma ninayotoa kwa shirika la ISN.

Go to ISN Position Descriptions
 
 

SCLERO.ORG is the world's leading nonprofit for trustworthy research, support, education and awareness for scleroderma and related illnesses. We are a 501(c)(3) U.S.-based public charitable foundation, established in 2002. Meet Our Team. Donations may also be mailed to:

International Scleroderma Network (ISN)
7455 France Ave So #266
Edina, MN 55435-4702 USA
Email [email protected]. Disclaimer. Privacy Policy.